My Blog List

Sunday, September 11, 2005

UNENE--UTIPWATIPWA KUUA WATANZANIA WENGI.

Jamani watanzania tunakula hovyo sana. Inasemekana kwa sasa kuna hatari hasa kwa wale watanzania wanajioweza kupata matatizo yanayotokana na unene au utipwatipwa.
Kuna umuhimu elimu ya jinsi gani ya kula itolewe na vyombo vya habari manake siku za usoni badala ya Ukimwi kuchukua roho za watu wengi itakuwa ni unene. Soma tathmini iliyotolewa juu ya hali ya utipwatipwa nchini Tanzania. Bofya hapa kwa habari zaidi.

1 comment:

Indya Nkya said...

Kama hujanenepa Tanzania unaonekana mchovu na mtu asiye na uwezo wa kujilisha. sasa hivi fasheni ni kunenepa Kessy.