My Blog List

Monday, September 05, 2005

PESA SUMU YA DEMODRASIA TARIME

Tunapofika mahali wenye pesa wanaamua kununua uchaguzi ni hatari. Hebu sasa ona, yaani kweli hapa demokrasia itafanya kazi kweli? Soma habari hii
Sijafurahia kabisa hapa kabisa na hili sijui wengine mnalionaje?

No comments: