My Blog List

Thursday, October 20, 2011

GHADAFI NI MWISHO WA ZAMA - END OF AN ERA
Bila kujali alileta maendeleo gani nchini mwake, lakini ni dhahiri ukitawala kwa upanga utaishia kwa upanga. Ghadafi hatunaye tena.

Tuesday, October 04, 2011

MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI UGANDA ATIWA NDANI KWA UFISADIHAPA JAMAA ANAPANDA GARI KWENDA SERO

Dr. Gilbert Bukenya alikuwa Makamu wa Rais asiye mwoga akijulikana kama "mahogany" ule mti mnene ambao unahimili vishindo, wiki hii katiwa ndani kwa ufisadi miezi michache baada ya Rais Museveni kumweka benchi.
Amenukuliwa akidai kkuwa haogopi kwenda jela.Ukiisoma hii utaona mtitiriko wa matukio ambayo yamemfikisha hapa alipo leo. Akiwa kama mtu mwenye nguvu nchini Uganda na Kigogo haswa, wengi wanajiuliza je ndio mwisho wake? hasa baada ya yeye kkuwahi kunukuliwa akisema kuwa serikali ya Uganda ilikuwa inatawaliwa na "MAFIA" fulani, hapa akimaanisha Museveni na watu wake. Tangu wakati huo kisiasa ameanza kuyumba hadi amefikia hatua ya kulala sero.

POLISI IGUNGAHUYU MWANAMKE ALITUPWA KWENYE GARI KAMA MZIGO