My Blog List

Tuesday, September 06, 2005

BUSH ASHAURIWA AMKOMOE MUSEVENI.

Kama nilivyokwisha dokeza makala zangu za nyuma kuna kila dalili ya wale mataifa tajiri waliokuwa wakimfadhili Museveni wakamwacha kwenye mataa. Kutokana na hali hiyo, Rais Bush wa Marekani anaombwa akatishe mawasiliano ya kibiashara na Uganda.
Mwanzo wa Museveni kumomonyoka huo jamani. Hebu bofya hapa zaidi.

No comments: