My Blog List

Monday, September 05, 2005

Oscar Lafontaine--Mrema wa Ujerumani

Augustino Mrema ni kiongozi mwenye makeke mengi ya kisiasa na ametembea vyama kadhaa akitaka tu kutimiza ndoto ya kuwa Rais kitu ambacho ni dhahiri hakitatimia kamwe. Nimekutana na historia ya mwanasiasa mmoja huko Ujerumani ambaye nadhani baada ya kuasi kambi ya swahiba wake kisiasa, chansela Schroder naye kaanzisha chama ili kupingana na rafikiye wa zamani.
Hebu soma historia yake alafu fananisha na Mrema kong'oli hapa.

No comments: