My Blog List

Friday, September 09, 2005

MGOMBEA APIGA MAGOTI KUOMBA KURA.

Hii imenishangaza kidogo; inaonesha ni jinsi gani vigogo wetu walivyolewa madaraka. Sikuamini kama mtu wa cheo cha waziri anaweza kupiga magoti eti ili achaguliwe. Anaomba kura kwa kunyenyekea unafikiri atakuwa tayari kunyenyekea baada ya kuchaguliwa?
Kama hakunyenyekea kwa miaka mitano iliyopita je atafanya hivyo kweli?
Nafikiri ni wakati wa kuadabishwa na wapiga kura. Hebu bofya hapa

No comments: