My Blog List

Saturday, September 10, 2005

Mambo ya Helsinki

Yule mpiga picha maarufu, Issa Michuzi, naye kaingia kwenye globu. Alikwenda Helsinki na ametambua umuhimu wa kuglobu. Nimependa mambo yake baada ya kushtuliwa na mheshimiwa Ndesanjo. Bofya umuone Michuzi alivyofanya mambo huko Helsinki.

No comments: