My Blog List

Saturday, September 10, 2005

GLOBU MPAKA HELSINKI

Wakati mkutano wa Utandawazi na Demokrasia ulipofanyika huko Helsinki, mwanaglobu maarufu wa kiswahili, Ndesanjo Macha alikutana na mwanaglobu kati ya wachache wa huko Finland. Huyu ni Mmarekani ambaye ni mtaalam wa mambo ya computa. Bofya hapa uone anafanya nini.

No comments: