My Blog List

Wednesday, November 16, 2011

UGANDA PRESIDENTIAL MATERIAL


Kuna wakati Rais Yoweri Museveni aliwahi kusema kuwa huyu ndiye "Presidential Material". Sasa na yeye kanena kuwa anaweza akawa Rais wa Uganda.

Monday, November 14, 2011

UTAWALA WA MUSEVENI UMECHOKA SASANi wazi baada ya kutawala kwa miongo kadhaa kwa sasa Uganda inahitaji kiongozi mpya, mwenye mawazo mapya na mtizamo mpya. Museveni kwa vyovyote vile kwa sasa si vyema akaendelea kuitawala nchi ni mzee. Kwa sasa utawala wake haupendezi kama enzi zake akionekana kama mtawala wa enzi mpya Africa.

KAGAME ANAVYOWAZA JUU YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI NA NCHI YAKE


Rais Paul Kagame, ni kiongozi wa aina yake katika Bara la Afrika kwa sasa. Ni mtu ambaye hata nchi yetu Tanzania tunamhitaji sana kama kweli tunataka kuendesha nchi kisasa. Msome hapa uone anafanyaje kazi zake?

OPEN GOVERNMENT PARTNERSHIP

Je serikali ya Tanzania iko katika kundi la OPEN GOVERNMENT PARTNERSHIP? Nahttp://www.blogger.com/img/blank.gif je hii inamaanisha nini?