My Blog List

Wednesday, October 10, 2012

UGANDA @ 50

MUSEVENI = NYERERE TANZANIA

MIAKA 50 UHURU WA UGANDA

Uganda imetimiza miaka 50 kwa kufanya maadhimisho ingawa siyo ya mmbwembwe kibao na gharama kama Tanzania ilivyofanya.Museveni ndiye aliyekuwa mwenyeji wa maadhimisho yaliyofanyika katika viwanja vya Kololo jijini Kampala. Makamu wa Raisi wa Tanzania Dr. Bilali alihudhuria.
Rais Museveni alitangaza jana mambo 10 yatakayoifanya Uganda kuwa Taifa la maendeleo ya hali ya juu kiuchumi miaka mingine 50 ijayo.Pamoja na mambo hayo 10, ni wazi Museveni sasa anaondoka madarakani atake asitake na haijulikani kama mtoto wake ndiye atakayerithi au la.