My Blog List

Tuesday, November 22, 2005

WIVU WA WAZUNGU

Eti wamarekani na waingereza wanashangaa kwanini China inawekeza kwa kasi Afrika?soma
Jamani huu sio wivu? Naomba tuelezane je China kuwekeza Afrika ni habari njema kwetu waafrika au balaa jingine?

1 comment:

nyembo said...

HAWA WAZUNGU HAWANA WIVU KWA NCHI ZETU KUPATA MAENDELEO,KINACHOWASUMBUA WATU HAWA NI KUWA WENYEWE HAYA YALIKUWA MAKOLONI YAO....TOKA ZAMANI LAKINI UCHINA KWA SASA WANAYACHUKUA KWA UTARATIBU NAO WANAJIMILIKISHA KUTOKANA NA UMASKINI WETU,HII NI HALI HALISI AKUUONEE WIVU WA MAENDELEO WEWE KABAKA,WEWE CHAKA NA MKWAWA NANI KASEMA,WENYEWE WALITUMIA CARL PETER,CECLI RHODES NA LIVINGSTONE KUINGIA HUKU KWA UBIASHARA UDINI NA UPELELZI LAKINI HAWA WACHINA WANAITWA NA SISI WENYEWE KWA UMASKINI WETU NA UWOGA WETU DHIDI YA MATAIFA YA MAGHARIBI!
HUKUONA MUGABE ALIKWENDA WAPI KUTAFUTA MSAADA....SISI TUNATAWALANA,TUNATAWALIWA,TUNATAWALIKA,TUNAHITAJI KUTWALIWA NA UTU WETU PIA.HUU NI UGOMVI NA WIVU WA MAKOLONI,MUHIMU KUVUA NGUO ZAO NA KUTEMBEA UCHI AMA KUVAA MAGOME YA MITI NGOZI NA KAMBA,KWA HAPO WATATUOGOPA NAN ATAKUJA NA HATUHITAJI USTAARABU WALA ASILIZAO? NANI ATAKUWA MUISLAMU AMA MKIRISTO NANI ATAHITAJI WATAKALO NA LUGHA YETU IBADILIKE SIO KINGEREZA CHA KULAZIMISHA KAMA CHA WANAIGERIA