My Blog List

Tuesday, November 22, 2005

JAMANI HII "THANKS GIVING NI NINI?"

Hii nataka mheshimiwa Ndesanjo asome na ikiwezekana anipe muangaza. Nasikia huko Amerika kuna hii sikukuu iitwayo: Thanksgiving, hebu niambie inamaanisha nini?
Joji Kichaka kong'oli hapa nimeona akitoa salamu za siku hii.Hapa ninaishi na Wamarekani miongoni mwao ni waalimu wangu basi siku tayari wameshaanza kutoa udhuru hawatahudhuria darasani. Ni nini msingi wa siku hii?

1 comment:

mwandani said...

thanks giving - pamoja na mambo mengine ni tabaka la watawala wa marrekani kusherehekea kushinda wazawa asili wa marekani kwa kutumia silaha. wanashukuru nini kingine ndani ya nchi iliyochukuliwa kwa mabavu?