My Blog List

Friday, November 25, 2005

KISA CHA WA-TWAWALA WETU

Ile stori ya wa-twawala wetu wanavyowanyonya walalahoi inaendelea kudhihirika. Huko Kenya, rais Mwai Emilio Kibaki amelifuta kazi baraza la mawaziri.
Bonyeza hapa uone ni jinsi gani walalahoi wanavyonyonywa.Hivi kweli bara la Afrika ni masikini au tunatania?Mimi nashindwa kujua wala kuamini ila inanifanya niulize wenzangu: Kwa mfano jinsi serikali ya Tanzania inavyohangaishana na madaktari je ni kiasi gani kinatumika kwa wanasiasa wetu? Je ni busara kutumia mabilioni kwenye siasa na kuwasahau madaktari wetu?

1 comment:

nyembo said...

HAPA NITAKUGUNA KIDOGO LAKINI SI LEO,LEO NASEMA SI HAKI KUTUMIA MILIONI HIZO KWA SIASA LAKINI SI HAKI KUDAI HAKI YAKO KWA KUMDHULUMU MWINGINE BORA NYOTE MKOSE...ILI MSITENDE KISICHOKUWA HAKI..
KWA MADKTARI KUGOMA HII HAIKUWA HAKI KWA WATAWALIWA,WASIO NA UJUZI WAKUJITIBU,WANAOLIPA KODI ZINAZOSABABISHA MISHAHARA,NA FEDHA ZA SIASA,WALALAHOI WA JEMBE LA MKONO HAPA HAPAKUWA NA HAKI.
SI MADAKTARI WALIOFANYA SAHIHI WALA SERIKALI...NA SASA TUADHIBU KWA MUJIBU WA SHERIA INGAWA SIO MAJAJI