My Blog List

Thursday, November 24, 2005

DALILI ZA UDIKTETA ZAJIONESHA JANA KAMPALA

Watu wanasema Museveni kawa dikteta; na leo nataka niwaoneshe haswa ni kwa vipi huyu bwana kweli ameamua kuitupa demokrasia kapuni.
Jana ile kesi ya mpinzani wake mkuu, Dr.Kiiza Besigye ilikuwa itajwe na kulikuwa kumepangwa maandamano makubwa ya wafuasi wake.Kinyume chake serikali ilitumia wanajeshi na kuwavisha nguo za polisi wakiwa na magari makubwa ya kijeshi katika kona mbalimbali za kampala. Soma hapa ujione mwenyewe udikteta unavyomea.

1 comment:

Indya Nkya said...

Hivi kuna wakati hajawahi kuwa dikteta? Labda ni kiwango tuu sasa kimezidi.