My Blog List

Monday, November 21, 2005

HATARI KWA UHAI WA GLOBU

Haya wanablogu jamani mimi sasa natishika. Hivi kama mmefuatilia huu mkutano wa vyombo vya mawasiliano ya kompyuta kuna habari sasa wa-twawala wanataka wadhibiti mitandao ya intaneti.
Sijui mnalionaje manake natishika sasa hapa.Kuna hatari habari zinazotokea huku zikadhibitiwa, tunaelekea wapi? Nimesoma habari bonyeza
nikashtuka sasa ule uhuru wa mawasiliano uko hatarini.Jamani tutuwaweza wa-twawala?

2 comments:

nyembo said...

JASHO IMENITOKA KWA WINGI MNO HAPA NILIPOSOMA KWA KWELI,NASIKITIKA KWA KUWA SASA KINA WATWAWALA WATATUFANYA TUWE WATU TUSIO HURU NAONA KILA MMOJA AANZE KUJIFUNZA MBINU KAMA ZA WAYAHUDI WA KALE WALIVYOANDIKA VERSE ZA BIBLIA NA KUZISAMBAZA KWA KILA MUYAHUDI,yaani BARUA KWA TIMETHEO NDUGU YANGU ULIYE KENYA,MAMBO HAYA YAMETOKEA NA WATU KUSHUHUDIA KUWA MUSEVENI ANAUA NA KUFUFUSHA PALE KAMPALA,NA MUGABE ANAMSIFIA HAYA MUNGU HAKURUHUSU MWISHO. TUTAKUWA TUNAWEKA SAHIHI YA KIRAFIKI TU MIMI NDUGUYO YOHANA (KITABU HIKI KITAITWA(TIMETHEO1)MAJIBU YATAKUWA (WAEFESO 2),KILA MMOJA ATAPATA WATAHISI TMEWASIKIA NA WAMETUKOMESHA LAKINI UKIMYA UTAKUWA NA MATOKEO YA KISHINDO KAMA MSHINDO ULE WA SAUTI YA WTC..MUNGU AWAREHEMU WALIOTANGULIA KULALA KWENYE MASANDUKU YALE,YALIKUWA MENGI!

nyembo said...

MKAPA MWENYEWE ALIPOANZA KUPEWA NJII HII ALIKWENDA KUPIGA MAGOTI AFUTIWE MADENI,NA KUAHIDI DEMOKRASIA YA KWELI,USAWA,HAKI,UWAZI,MAENDELEO ENDELEVU,UTANDAO WAZI NA KADHALIKA,MENGI KATEKELEZA LAKINI HAKI,USAWA,NA DEMOKRASIA NI UGONJWA MKUBWA ALIOUACHA IKIWA NI PACHA WA RUSHWA.
KWA KUSHINDWA HUKO KUMEMFANYA AWAROPOKEE MBOVU WALE ALIOAMINI KUWA NI WAUNGWANA! UKIKUBALI KUYAVULIA MAJI NGUO SHURTI UYAOGE NA YOTE YAISHE NDOO IRUDI NYEUPE NA SIO YA UOGE,HALAFU MENGINE UMWAGE MKAPA TUNAKUSHTUKIA