My Blog List

Thursday, December 02, 2010

UNATAKA KUJUA KUIBA KURA?

Kama tunafuatilia mambo hatusshangai bara la Africa linaongoza kwa kasumba ya kuchakachua kila jambo. Kura kwao ndio mchezo wa kusalia madarakani. Hebu tizama katika siku si chini ya miezi miwili wizi wa kura imekuwa gumzo Afrika ya Mashariki,na Magharibi: Tanzania, Guinea na Ivory Coast.
Tizama mbinu zitumikazo.

Alafu huwa wanafanyaga hivi.

Huko Zimbabwe nako Mugabe kashindwa kazi nyumbani wakati mkongwe mwenzake Museveni ana raha wakati wa kampeni kaamua kupiga na kuimba mziki wa Rap.

No comments: