My Blog List

Sunday, December 19, 2010

ULINZI WA RAIA NI KAZI YA POLISI AU JESHI LA ULINZI?


Huko Ivory Coast uchaguzi ni fujo tu, juzi hapa kwetu Tanzania tulishuhudia vitisho vikitolewa na jenerali mmoja wa jeshi la ulinzi kabla ya uchaguzi.Wengi tulishangaa hivi ilikuwa ni kazi ya jeshi kuzungumzia usalama wa raia ama Polisi?
Jirani zetu Uganda wanajiandaa kwa uchaguzi, kwao, Ulinzi wakati wa uchaguzi si kazi ya jeshi, soma zaidi juu ya hili kwa mujibu wa kamanda hapo juu.

No comments: