My Blog List

Sunday, November 28, 2010

WAJUE MAWAZIRI WALIOAPISHWA

Baada ya baraza la mawaziri kuapishwa hapo jana, sasa ni wakati wa kujua sifa au wajihi wa wateule hawa maalum wa serikali yetu tukufu.Inasemekana wengi ni majeruhi na wanaodai hivyo wanayo mengi ya kusema juu ya mapungufu ya baadhi yao.Mtizamo wa mapungufu unatolewa zaidi na wale ambao ni wapinzani wa CCM.
Naye Lowasa ameamua kutoa tamko juu ya tuhuma kumzidia.

1 comment:

emu-three said...

Sisi tumemaliza, tumeshawakabidhi uma na kijiko, sasa...wajue kuvitumia au wasijue ni jukumu lao. Ila mwisho wa siku tutauliza mlivyovutumia hivyo vifaa! Kwa kula au kwa kulishia!