My Blog List

Thursday, December 09, 2010

MAUAJI YA KIMBARI NYUMA YA MOBILE PHONE YAKO

We furahia tu kutumia smart phone yako, lakini hujui ni matokeo ya damu inayomwagika kkule Congo DRC.

1 comment:

emu-three said...

Aisee...mmh, labda ndio maana leo tunahitajika kufurahia `uhuru ' wetu kuwa hatuna mauaji kama hayo...ila yapo moyoni na akilini mwetu. Kufa hatufi, ila cha moto tunakiona. Juzi nilikaa kwenye kiti toka Msasani hadi Gongolamboto, masaa matatu...fikiria umbali huo siumeshafika Morogoro toka Dar! Unafika nyumbani giza totoro, mishumaa inanuka utafikiri tupo kiwanda cha plastic!
Hakuna damu inayomwagika, hili kwetu ni faraja, ila machozi ndani ya moyo yanamwagika kila siku!