My Blog List

Wednesday, December 15, 2010

UHURU KENYATA KIKAANGONI ICCANATUHUMIWA KUPANGA VIJANA WA KIKUNDI CHA "MUNGIKI" KUWASHAMBULIA WAFUASI WA CHAMA CHA ODM WAKATI WA FUJO BAADA YA UCHAGUZI KUIBIWA. ALIKUWA ANA NDOTO ZA KUMRITHI RAIS KIBAKI KWA KUZINGATIA KUWA KENYA ITAONGOZWA NA WAKIKUYU TU. NDOTO YAKE KWA SASA NADHANI IMEKWISHA.
INASHANGAZA HIVI INAKUWAJE RAIS KIBAKI ALIMCHAGUA KATIKA KABINETI YAKE MTU MTUHUMIWA WA UHALIFU?

No comments: