My Blog List

Sunday, December 05, 2010

MATOKEO DARASA LA SABA - 47% WAMEFELI: INATISHA

Matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka huu kwa Tanzania ni sikitiko kwa mtu yeyote makini. Yaani asilimia 47% wamefeli? Hii ni aibu. Hili lingine la kudhoofisha vita dhidi ya madawa ya kulevya ama kuna nia nzuri nyuma ya pazia?

Nchi yetu inakoelekea ni kubaya kimaadili, hapa Tanesco inatumika kwa maslahi ya mafisadi au ni halali kwa yanayotokea juu ya Dowans?

1 comment:

SIMON KITURURU said...

Kweli inatisha!