

Pichani ni Mheshimiwa Chenge akifurahia baada ya kuhukumiwa. Picha nyingine ni ndugu wa Mheshimiwa wakihesabu mahela kulipa faini ya kiasi cha shilingi 700,000/= za kitanzania ili kuepuka kwenda lupango miaka mitatu baada ya kukutwa na kosa la: 1.KUENDESHA GARI BILA UANGALIFU
2.KUENDESHA GARI LENYE BIMA YA KUGUSHI(iliyokwisha muda wake)
3.KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI.
Utawala wa sheria na haki umetimiza wajibu wake. Mungu Ibariki Tanzania
2 comments:
Ama kweli!
Mungu Ibariki Tanzania!
Mkuu nakutakia mwaka 2011 mwema!
Mkuu, ndio utawala wa sheria, yaani inafurahisha.
Heri ya mwaka mpya na wewe baba.
Post a Comment