My Blog List

Wednesday, December 29, 2010

RASIMU YA KATIBA - CUF

Chama cha Cuf kimekuja na rasimu yake ya katiba. Hivi kama kila mtu ataandaa rasimu, sasa si ina maana tunahitaji tu kufanya tu "comparative analysis" alafu tuweke viraka hii ya sasa ya 1977?

No comments: