My Blog List

Sunday, April 02, 2006

JK SIKU 100

Eti rais Jakaya Kikwete kafikisha siku mia moja madarakani. bonyeza hapa Binafsi nafikiri anastahili pongezi.
Ila leo kanifurahisha zaidi katika kupambana na majambazi kwani kaanzisha kikosi maalum dhidi ya ujambazi; bonyezahapa ni hatua ya muhimu nainga mkono.
Ila tahadhari imetolewa leo hii juu ya utendaji mzima wa serikali ya JK kama inataka iendeleze mafanikio zaidi ya haya yaliyotokea kwa siku mia moja. somahapa

3 comments:

Ndesanjo Macha said...

Nimeona watu wengi wakitoa pongezi kwa Kikwete. Lakini napenda nione watu wakitoa sababu za msingi za pongezi hizo badala tu ya kusema wanampongeza. Na sababu zenyewe ziwe ni nzito zaidi ya kuwa aliunda tume kuchunguza vifo vya raia.

Mwavizo said...

Nimekutembelea bwana innocent na ingawaje blog yangu ya kiingereza, nina mpango wa kuanzisha blog mpya ya kiswahili ambayo itaelezea habari za tanzania wiki hadi wiki.
Ninamatumaini utakuwa ukipata habari za kisiasa ambazo nimeona zinakuvutia hapo.

Nakupa hongera kwa kazi uliyofanya kwa blog yako.

lucassona said...

hellow kaka,..
thanx kwa maoni yako..
nipo mbioni na kila kitu kipo tayari

ila nahitaji umakini na kujua kama wapo watu wanasoma kazi zangu..
hivyo kama wapo watu wanahitaji news za world cup..
zipo
kwani nina mpango wa kuweka hadi video clips za wachezaji nyota ...
tecknolojia ipo na tutaweza tu ..
wape salaam wote huko uganda ..waambiea watu wasome nwes za blog hii ...RODGERZ.BLOGSPOT.COM
BYEEE
LUCASSONA