My Blog List

Sunday, March 19, 2006

HABARI ZA LEO MAGAZETINI

Katika pitiapitia yangu ya habari leo nimekunwa na jinsi wanaume wa siku hizi wanavyochagua wanawake wanaowapenda wawe wenza wao. Mwandishi kaandika kwelikweli na akaonya sana juu ya makosa tufanyayo sisi wanaume. somahapa . Kuna hili la haki za ukombozi wa wanawake: inasemekana wengine wamejisahau na wakavuka mipaka. soma
Habari nyingine ni kuwa eti dunia ya leo mambo ya elimu sio tena msingi wa kufanikiwa kimaisha. Ukisoma mwandishi wa makala ile ameniacha nikipigwa butwaa ni kwanini ninasoma sasa? bonyezahapa
Alafu ningependa tumsome raisi wa hapa Yoweri Museveni katika mahojiano yake ya kwanza tangu achaguliwe kuwa raisi hivi majuzi. bonyeza

2 comments:

mwandani said...

Museveni ana majibu mazuri... Yote kweli lakini?
Nasapoti federation ya Afrika mashariki, je tupo tayari?

Anonymous said...

siasa ya tanzania ni kama kuelekea gizani kwani suala la kupitishwa sheria ya matumizi ya fedha za uchaguzi unavigandamiza vyama vya upinzani kwani vinapata ruzuku ndogo ukilinganisha na ccm.mimi ONESMO JOHN QAMSINDA mwanafunzi wa chuo kikuu cha dsm, ninampango wa kugombea UBUNGE JE hamoni ya kuwa nitakuwa nim ebanwa kifedha?