My Blog List

Friday, April 14, 2006

TANZANIA KUWA BORA KULIKO UGHAIBUNI--JK.

Unajua mara nyingi nikisoma anayosema JK kila anapopewa nafasi huwa ninacheka alafu ninajaribu kufikiri hivi kweli itawezekana?
Leo anaripotiwa eti ataondoa ile kasumba ya wasomi kukimbilia ughaibuni.somahapa
Haya hebu ngoja tuishi kwa matumaini manake huyu jamaa anafurahisha sana. Ila nimefurahishwa na makala moja hapa Uganda juu ya tatizo la utegemezi wetu waafrika huko ughaibuni.Nimeona ni vizuri tulinganishe yaliyojadiliwa hapa na hayo JK anayosema alafu tuamue je kweli JK ataweza kuboresha na kuzuia tamaa ya kwenda Ughaibuni?somahapa

1 comment:

John Mwaipopo said...

Innocent maswali unayojiuliza unayaona magumu lakini wanasiasa wanayaona mepesi. Pengine JK anakasiri anako in stock ka kufanya miujiza ndani ya miaka 10 ijayo ka kuwafanya maprofesa waishi kama maprofesa. Hebu tukae na tusubiri muujiza huu wa Kiyesu-yesu. Itakuwa bomba mbaya.