My Blog List

Sunday, April 23, 2006

RUBANI MLEVI--CHANZO CHA AJALI KENYA

Wajameni eti ile ajali ya ndege kule Kenya siku chache zilizopita ilisababishwa na ulevi wa rubani. Hii inaonesha ni jinsi gani sisi waafrika siku hizi hatujali nidhamu ya kazi. Inawezekanaje rubani mlevi aruhusiwe kupanda ndege?

1 comment:

Edison Ludovick Ndyemalila said...

Kama kweli rubani alikuwa amelewa sasa hii ni kuingiliwa kwa taharuma ya urubani na watu wasiofaa.huyu mtu anastaili ifikishwe mbele ya sheria kama bado yuko hospitalini afuatwe ukouko.Kaka endelea kuwaweka hadhalini watu kama hawa