My Blog List

Sunday, October 23, 2005

UGANDA--MARIDHIANO KWELI AU HADITHI ILE ILE?

Baada ya kifo cha Milton Obote, Uganda inaingia katika kipindi cha maridhiano.Ni wakati ambao waganda wameamua kuanza ukurasa mpya: yaani ni marufuku kwa mwanasiasa wa Uganda kuishi uhamishoni.Je hii ni kweli kama raisi Museveni alivyoahidi?
Wiki ijayo yule anatarajiwa kutoa upinzani kwa Museveni, kanali Kiiza Besigye anawasili hapa kuja kujiandikisha ili aweze kushiriki katika uchaguzi huo.Walakini katika maridhiano tayari umeanza kujionesha soma hapa.

1 comment:

Indya Nkya said...

Museveni mmojawapo wa wanafiki wa bara hili. Hajuhi anachoongea. Hataki kupingwa. Anaogopa madhambi aliyofanya. Akipoteza urais atakwenda wapi? Ni muongo sana huyu na mnafiki anachozungumza na anachofanya haviendani kabisa.