My Blog List

Wednesday, September 28, 2011

MAMBO YA THE HAGUEHawa ni mawaziri wawili wa Kenya. Mmoja ni mtuhumiwa wa mauaji wakati wa uchaguzi, UHURU KENYATA ambaye anashtakiwa huko The Hague ingawa mambo yanaonekana yana mwelekeo mzuri kwake. Anayembusu ni Beth Mugo, waziri wa Afya wa Kenya. Wote ni Wakikuyu, ukabila bila shaka ndio unaowaunganisha.

1 comment:

Anonymous said...

Beth ni Binamuye Uhuru..sio ukabila tuu unawanganisha ni undugu wao...Baba zao ni ndugu...Tuwe makini tunapo nukulu vita hapa mtandaoni tusionekane kuwa wehu...
Ahsanteni sana.