My Blog List

Friday, September 23, 2011

KUMBE TANZANIA INAITAMBUA SERIKALI MPYA LIBYA?Hapo Juu: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akitambulisha na kusalimiana na mwenyekiti wa NTC, serikali mpya ya Libya. Sasa najiuliza, ile kadhia ya kumwita balozi wa Libya eti kapandisha bendera kumbe ilikuwa danganya toto tu.

No comments: