My Blog List

Friday, September 23, 2011

HUYU ANAOMBA KURA NA BASTOLA KIUNONI


Sitaki kuweka maelezo sana ila Ismail Aden Rage ni Mbunge wa Tabora Mjini. Hapa anaomba kura katika kampeni huko Igunga. Unaionaje hiyo? Kwa mtindo huu, ushindi lazima tu, sijui sheria za uchaguzi zinasemaje juu ya hili.

2 comments:

Anonymous said...

Msimshangae ana asili ya Somalia. Amesahau kwamba yupo Tanzania.

Anonymous said...

Jamani msimshangae saana ni muoga huyo?