My Blog List

Saturday, July 21, 2007

Kweli haya ni mambo makubwa, yaani Robert Mugabe anatumia mbinu chafu za akina Museveni kumchafua Askofu Ncube ambaye anampinga sana.

3 comments:

SIMON KITURURU said...

Inno, nimekutag.
Tujulishe vitu nane tusivyojua kuhusu wewe.

Innocent said...

Bwana Kitururu nimekupata, viko vingi labda hamvijui juu yangu. Nitajaribu kukujuza, naomba unipe muda kidogo usijali.Nashukuru unanitembelea.

SIMON KITURURU said...

Poa Tu Inno!