My Blog List

Wednesday, December 13, 2006

UDIKTETA-SIRI YA KUISHI MUDA MREFU

Eti madikteta hawafi mapema, tunahimizwa tuwe majitu korofi na dhalimu ili tuishi muda mrefu.

1 comment:

kibunango said...

Sidhani kama kuna ukweli wowote kuhusu hilo!