My Blog List

Wednesday, December 07, 2005

KIKWETE MZALENDO KWELI?

Nimekutana na makala moja ambayo imenifanya nijiulize maswali mengi sana. Unajua hivi kweli ni sawa kumpima mtu kama kiongozi bora kwa kuangalia ni wapi watoto wake wanasoma? Hivi majuzi mtoto wa rais mtarajiwa, Mh Kikwete alihitimu katika chuo kikuu cha Dar es salaam; baadhi ya watu wanachukulia hiki kama kitendo cha kizalendo.
Hebu jaribu kusoma hapa alafu useme mwenyewe.

1 comment:

Ndesanjo Macha said...

Kiungo hiki kinahusu habari ya Jaji Mwalusanya na sio mtoto wa Kikwete. Hata hivyo, habari hiyo ya Mwalusanya ni nzuri sana.