My Blog List

Wednesday, August 17, 2005

Premia ligi yarudi tena.

Ligi kuu Uingereza imeanza,mambo yameiva. Kama mnavyojua tena mimi ni mnazi wa Liverpool. Msimu huu tutajaribu kupungaza kasi ya wababe kama Chelsea, Manchester na Arsenal.
Ningependa changamoto kwa wale wanazi wote wa kandanda, tubadilishane kwa kujibizana ndani ya blogu kwa kadri ligi itakavyokuwa ikiendelea.
Natabirr bingwa atakuwa Liverpool, ila Manchester itachemsha kuliko mwaka jana. Je wanakandanda mnasemaje?

No comments: