My Blog List

Wednesday, June 06, 2007

Uganda Yashinda Nigeria

Mafuta yaligunduliwa Uganda, je nchi kuwa na mafuta ndio laana?Je kukuwa kwa China ni baraka Afrika?Leo nakumbushia pia juu ya Mayombo tena, huyu mtu alikuwa na mengi ya kueleza yasiyojulikana.Nigeria yashindwa.

1 comment:

SIMON KITURURU said...

Mafuta katika mpaka wa Uganda na Kongo ukichanganya na ubinafsi wa Serika,Ufalme na watu binafsi , mimi nahisi ni supu ya balaa tu inapikwa hapa.Cha ajabu ni kwamba kama kumbekuwa na uelekano katika Afrika Mashariki nafikiri Uganda ingechukuwa uongozi wa kiuchumi kilaini.Kongo naonana tu ndio nchi iliyolaanika kisawasawa.Madini karibu yote muhimu inayo lakini ndio kasheshe.Duh!