My Blog List

Thursday, May 18, 2006

MARAISI "SUPA GLUU"-AFRIKA

Kuna malalamishi ambayo yanafurahisha juu ya hatua ya marais wa Afrika kuunga mkono wenzao wanaong'ang'ania madaraka.
Mwandishi mmoja kalaani ni kwa nini hata JK wetu alihudhuria kuapishwa kwa Museveni?
Alafu Obasanjo alifika Uganda baada ya Museveni kuapishwa inasemekana alikuja kumfunza Museveni jinsi ya kutawala ukiwa haupendwi. Demokrasia bado inaendelea kuchezewa hapa na Museveni kwani sasa hivi yuko tayari kutumia hela za walipa kodi kumfunga mpinzani wake.

1 comment:

Indya Nkya said...

Inno tatizo ni kwamba wote wanajua uharamia wao tuu. Ndio maana wakati Mugabe anafanya operesheni Mrambatsavina alisema ni kiongozi gani wa Afrika ambaye hajawahi kubomoa makazi ya watu wake? Wote wanafanya blunder hizo hizo!!