Hii ni globu iliyovumbuliwa nchini Uganda inajaribu kukazia matumizi ya lugha ya kiswahili na kuhabarishana kuhusu maswala mbalimbali ya kijamii hasa katika ukanda wa Afrika Mashariki na kat na kwingineko. Siasa na mambo ya michezo na kijamii kwa ujumla ndio itakayokuwa mada kuu hapa.Nitakaribisha maoni yenu.
1 comment:
Habari muhimu sana hii Inno,
Ukombozi wetu unaanzia kwenye mambo kama haya.Ni lazima tubadilishe,ya kikoloni tuyapeleke kwa mkoloni.
Post a Comment