My Blog List

Sunday, March 12, 2006

USHOGA KUKUBALIKA KAMA DESTURI HIVI KARIBUNI

Nimekutana na makala moja ambayo imenikuna sana juu ya ushoga.
Ama kweli hivi majuzi katika nishani za Oskar kule kwa Joji Kichaka, walifikia mahali na kuitunza filamu ya ushoga.
Kwa kweli nina wasiwasi sasa si muda mrefu 'Ushoga utakuwa sio dhambi'. Jamani mimi nimechanganyikiwa manake sasa wazungu wanatuwekea viwango kwenye kila kitu. Na wakishapitisha kwamba kitu fulani ni bora ndio hivyo tena sisi makabwela tunaona ni fasheni. Bonyeza hapa uone yuko mzungu mmoja hapa Uganda ana maoni fulani.

1 comment:

Fredy mwanja said...

Hata mimi ushoga ninauchukia sana kwani hata kwenye KITABU KITAKATIFU yaani BIBLIA imekataza mambo hayo ya ushoga,Hawa mashoga wanatuaibisha wanaume