Haya tena sasa ni mwezi ambao nchi ya Uganda itafanya uchaguzi wake mkuu.
Baada ya kukaa kimya kwa kipindi nikiwajulisheni siasa za hapa leo narejea tena. Kama inavyoeleweka na wengi ugombea wa rais ambaye alitarajiwa kumaliza muda wake umekuwa na utata sana hasa baada ya kubadili katiba kidemokrasia kupitia wabunge kuondoa ukomo wa vipindi vya kukaa madarakani.
Leo Rais Museveni kaandika makala maalum somahapa kuelezea ni kwa nini wananchi wanamkubali na kuwa ilikuwa ni sahihi kubakia madarakani.
1 comment:
Kiungo ulichoweka cha habari ya Museveni kina makosa. Kina mikwaju minne badala ya miwili (////).
Post a Comment