My Blog List

Thursday, August 18, 2011

TANZANIA INATIA RAHA BWANA - HASA HILI LA MAFUTA NA JAIRO!

Serikali inaweza kutishwa na wafanyabiashara, na kuonesha nguvu ya wafanyabiashara Taifa zima laweza kukumbwa na tatizo la nishati ya mafuta na mambo yatakwenda murua na burudani kabisa. Hii ndio nchi inaitwa Tanzania, kisiwa cha amani, nchi ya wapendanao, watu tusiopenda madhila katika maisha yetu. Ndio nchi pekee ambayo watuhttp://www.blogger.com/img/blank.gif whttp://www.blogger.com/img/blank.gifake wanajua 'kujiadjust na hali yoyote inayojitokeza'. Soma hii stori juu ya mafuta, utafurahi mwenyewe. Ukiacha la mafuta, Tanzania ni nchi nadhani kati ya chache ambazo kuna mahusiano mazuri sana kati ya wanasiasa na wataalam. Kwa mfano, ili wataalam mambo yao yaende vyema, basi kule bungeni, wabunge wanakatiwa chao kidogo tu, alafu wanapitisha. Kama unajua systemic corruption, soma hili ucheke alafu utajisikia faraja kuzaliwa katika Taifa la Amani.

No comments: