My Blog List

Thursday, August 18, 2011

ASALAAM ALAIKUMNi mwezi mtukufu wa Ramadhani, na baada ya kimya kingi naamua kurejea ili wasomaji wangu tuendelee kushirikiana. Watu tumezoea tu kushuhudia mashindano ya urembo kwa kufuata mitindo ya kimagharibi. Leo nawaletea mashindano kwa mahadhi ya kiarabuni, mambo ya kiislamu.

No comments: