My Blog List

Thursday, August 18, 2011

MKATABA WA EAC - UJADILIWE UPYA

Katika kuwezesha jumuiya ya Afrika Mashariki iweze kuendana na mabadiliko ya Katiba Mpya ya Kenya na hata ile mpya inayotarajiwa Tanzania, kama itatokea kweli, imeelezwa kuwa Mkataba wa sasa wa EAC haufai. Soma habari hii.http://www.http://www.blogger.com/img/blank.gifblogger.com/img/blank.gif
HALI YA UCHUMI TANZANIA NI NGUMU: JE NINI ATHARI ZAKE NA TUFANYEJE?
Pia ikiwa kwa sasa hivi ambavyo maisha ya Tanzania yamekuwa juu sana, zingatia hali ya bei ya mafuta inavyosababisha kila kitu kupanda bei. Hivi umeshajiuliza ni kwanini bei zinakwenda juu? Tunaambiwa eti ni shilingi ya Tanzania imeshuka na pia eti soko la dunia mambo ndiyo yanayoongoza soko letu la ndani. Je, unajua kupanda huuku kwa bei kunamfaidisha nani? Anayefaidi ni huyu hapa, bonyeza hapa. si tu kwa wanaofaidi, lakini pia ningependa msomaji wangu, utambue kuwa kutokana na hali ngumu ya maisha, ni vyema kujua jinsi ya kuishi katika ugumu wa maisha.

No comments: