My Blog List

Saturday, March 19, 2011

MEYA KIJANA WA JIJI LA KAMPALA

Huyu bwana ana kazi kubwa kuongoza jiji la Kampala.
Hebu soma mipango ya meya huyu:

2 comments:

SIMON KITURURU said...

Kazi anayo aisee!

Innocent said...

Mkuu hapo atapata shida sana. Kwa umri wake wa ujana, atakwamishwa na kamwe hatafanikiwa. Siasa zetu za tumboni, huyu jamaa hawezi pata ushirikiano kamwe.

Iko kazi.