My Blog List

Sunday, March 20, 2011

GADAFI KUKIONA CHA MOTO

Ni vita inayochochewa na Uingereza na Ufaransa wakijaribu kumsapoti Mmarekani.
Gadafi mwenyewe kajificha kwenye handaki, je atapona?

1 comment:

emu-three said...

Yale-yale ya IRAQ...hataka kama atajificha pangoni, witampata, na mwisho wa siku , hawo waliokuwa wakimwimbia `zidumu fikira za kiongzoi wetu, watamhukumu, na hata kumnyonga...bila kujua kuwa ...hiyo ni hadithi ya shoka, kuwekwa mpini, kwa ajili ya kuwakata wenzake...!
Najiuliza hivi lini tutafumbua macho , tukaona kilichopo nyuma ya pazia...huenda `viongozi wenyewe hawasomi alama za nyakati' lakini hata wakiosoma, ndio iweje...kwasababu pale unaposoma hizo alama, wenzako ndio walioziandika!