My Blog List

Saturday, April 05, 2008

UFISADI HADI JESHINI UGANDA

Wakati ufisadi umetawala Tanzania,kule Uganda hakuna tena woga, mafisadi ambao zamani walikuwa jeuri sasa mkono wa sheria unawakumba. Kuna Jemedari wa jeshi sasa kawekwa jela kwa kosa la ufisadi jeshini. Hebu msome anavyojitetea dhidi ya ufisadi alioufanya.
Majenerali wengine wanaendelea kukanusha ufisadi. Wakati jeshi letu liko Comoro, Waganda nao wako Somalia na kuna tetesi za ufisadi zaidi jeshini.

1 comment:

SIMON KITURURU said...

Sidhani kama jeshi la TZ halina ufisadi. Nahisi watu hawachunguzi tu.Link yako ya mwisho kwenye post hii nimeshindwa kuingia.
Tuko Pamoja Mkuu