My Blog List

Sunday, April 27, 2008

HAPA NI WAPI?


Kama unajua hili ni jengo gani mjini Moshi sema.

3 comments:

SIMON KITURURU said...

Jengo silijui ila bado kidogo niandike jina nilisomalo pembeni mwa jengo:-)

Innocent said...

Nikukumbushe ni Leopard hotel kaka.

Subi said...

Ukikuza picha tu, jina la Leopard Hotel linaonekana vizuuuri kabisa. Bahati yako Inno umeniwahi mi m'mechelewa kuiona hii, ningeshakujibu.

Picha zaidi za mji mzuri wa Moshi tafadhaliii...