Hii ni globu iliyovumbuliwa nchini Uganda na inaendeleza kazi zake sasa nchini Tanzania: inajaribu kukazia matumizi ya lugha ya kiswahili na kuhabarishana kuhusu maswala mbalimbali ya kujamii hasa katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati. Siasa na mambo ya michezo na kijamii kwa ujumla ndio itakayokuwa mada kuu hapa.Nitakaribisha maoni yenu.
My Blog List
Thursday, October 20, 2011
GHADAFI NI MWISHO WA ZAMA - END OF AN ERA
Bila kujali alileta maendeleo gani nchini mwake, lakini ni dhahiri ukitawala kwa upanga utaishia kwa upanga. Ghadafi hatunaye tena.
4
comments:
Anonymous
said...
Na wao waliommaliza kwa upanga wataishia kwa upanga...titi for tati...maana nguvu nyingi imetoka nje, ....na mwisho wasiku watakaofaidika ni wachache tu....na sio raia wasio na hatia...
Thanks for sharing excellent informations. Your web site is very cool. I am impressed by the details that you’ve on this blog. It reveals how nicely you perceive this subject.iwc replica watches
4 comments:
Na wao waliommaliza kwa upanga wataishia kwa upanga...titi for tati...maana nguvu nyingi imetoka nje, ....na mwisho wasiku watakaofaidika ni wachache tu....na sio raia wasio na hatia...
Umepatia haswa!
Thanks for sharing excellent informations. Your web site is very cool. I am impressed by the details that you’ve on this blog. It reveals how nicely you perceive this subject.iwc replica watches
thanks http://bdallnewspaper.blogspot.com/
Post a Comment