Hii ni globu iliyovumbuliwa nchini Uganda inajaribu kukazia matumizi ya lugha ya kiswahili na kuhabarishana kuhusu maswala mbalimbali ya kijamii hasa katika ukanda wa Afrika Mashariki na kat na kwingineko. Siasa na mambo ya michezo na kijamii kwa ujumla ndio itakayokuwa mada kuu hapa.Nitakaribisha maoni yenu.
2 comments:
Kazi ipo sana tu katika siasa zetu za Afrika!:-(
Kweli sijui kama elimu yetu ina kazi yeyote kwenye bongo zetu wenye ngozi nyeusi.
Bw. Kitururu ndio Africa.
Post a Comment