My Blog List

Thursday, May 08, 2008

UTAPELI WA WALOKOLE

Watu wanadai eti kuna walokole wenye uwezo wa kutibu Ukimwi kwa sala!Mama wee!, huyu katumiwa na walokole kudanganya aliponywa kwa miaka kadhaa.
Malimwengu bwana, yaani kumbe tunadanganywa sana, lazima tuwe macho sasa na haya madini yaliyoongezeka sana.

1 comment:

Anonymous said...


UTAPELI WA WALOKOLE

"ETI KUNA WALOKOLE WENYE UWEZO WA KUPONYA UKIMWI"

Habari ndugu? Namshukuru Mungu kanikutanisha na Blog yako!

Naomba nikufahamishe kuwa Watu hao wapo-WALOKOLE!(Marko 16:14-20).Wanapewa uwezo huu baada ya kuokoka-Luka 24:48,Matendo ya Mitume 1:8).WANAWEZA KUFANYA HAYO KWA KUWA WAMEAMBIWA WAYAFANYE-Mathayo 10:8, Yohana 14:12.
Ndugu YANGU UKRISTO NI ULOKOLE SI ZAIDI YA HAPO, LAKINI MAMBO YALIVYO NDIVY0 SIVYO!!!!!!!! Marko 16:14-20, Matendo ya Mitume 2:46-47(Kanisa la Kwli!!!!), Waefeso 2:1-(soma sura yote)-Tumeokolewa kwa Neema!.Hakuna Ukristo bila kuokolewa.Hivi kwa nini YESU anaitwa MWOKOZI? Ameokoa nini?-Mathayo 1:20-21.
Note: Watu wote ambao wanaitwa au wajiita wakristo na hawajaokokoka,ukweli ni kwamamaba hawajawai kuwa Wakristo!! ila wamevaa jina la UKRISTO!!! Na hii ni kwa sababu hawajaijua kweli ya MUNNGU aliyewaumba!!SIJUI WEWE UPO UPANDE GANI?-1Timotheo 2:1-5.
Nina mengi ya kushare nawe pamoja na wengine kwa upendo lakini!! Tunaweza kuwasiliana wakati wowote kupitia +255 718 181 708 ili tufamishane zaidi.
MUNGU AKUBARIKI SANA NA WATUMIAJI WA BLOG HII PIA.
(2Wakorintho 6:1-2-Saa ya Wokovu ni sasa!!!)